MWANYIKA AHUDHURIA MAADHIMISHO YA SIKU 365 ZA MAMA SSH SEKTA YA KILIMO

  Jumamosi Machi 16, 2024 Mwenyekiti wa Kamati ya Viwanda, Biashara, Kilimo na Mifugo Mh. Deo Mwanyika akiwa na baadhi ya wajumbe wa kamati hiyo katika matukio mbalimbali alipohudhuria maadhimisho ya siku 365 za Mama SSH kwenye sekta ya kilimo yaliyofanyika Ukumbi wa Mlimani City, Dares Salaam. Shughuli hiyo iliambatana na futari iliyoandaliwa na Mh Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe.

 Vilevile vijana 10 vya vyuo vikuu walioshinda katika maandiko yaliyotoa suluhisho katika changamoto mbalimbali za kilimo walizawadiwa vyeti na fedha. 








 

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.

DK NCHIMBI ATINGA MKOANI KATAVI