SKUDU: YANGA TUTAKWENDA KUWASHANGAZA MAMELODI


 ...πŸ—£️ π™Žπ™†π™π˜Ώπ™ Aπ™ˆπ™€π™Žπ™€π™ˆπ˜Ό π™ˆπ˜Όπ™ˆπ™€π™‡π™Šπ˜Ώπ™„ π™Žπ™π™‰π˜Ώπ™Šπ™’π™‰π™Ž π˜Όπ™‰π˜Όπ™†π™π™π˜Ό π™†π™’π˜Ό π™ˆπ™†π˜Όπ™‹π˜Ό.


Skudu ambaye aliitumikia klabu ya Mamelodi Sundowns 2010/11 amesema yafuatayo ;


"Nimekuwa nikifatilia taarifa kutoka nyumbani Afrika Kusini πŸ‡ΏπŸ‡¦ na nimeona hata Mamelodi Sundowns wana hofu na Yanga tofauti na jinsi baadhi ya watu wa huku (Tanzania) wanavyoichukulia Yanga Kuelekea mechi hiyo"


"Kutokana na mabadiliko yao makubwa ya hivi karibuni na ubora mkubwa uliopo, huku bahati nzuri tuna uongozi imara, benchi kubwa la ufundi, kikosi kizuri na kubwa zaidi mashabiki wengi wanaotuunga mkono kwa kila mechi, vitu vinavyoitisha Mamelodi kukosa usingizi"


"Naamini kabisa tutashinda uwanja wa nyumbani kwa kishindo na sio kwa kubahatisha, tunajulikana uwezo wetu wa kubadilisha mchezo hivyo mashabiki wasihofu, tutakwenda kuwashangaza kwani kila kinachoendelea kule (Afrika kusini) nimekuwa nikishea na wenzangu pamoja na benchi la ufundi .. Tunaifatilia (Mamelodi) kwelikweli"


©️ Skudu Makudubela


Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.

DK NCHIMBI ATINGA MKOANI KATAVI