UKIIKOSEA HESHIMA YANGA UNAPIGWA 5G


 Anaandika Goodlisten Chicharito✍🏾


✋π™π™†π™„π™†π™Šπ™Žπ˜Ό π™ƒπ™€π™Žπ™ƒπ™„π™ˆπ˜Ό π™π™‰π˜Όπ™†π™π™‡π˜Ό 5


Iko hivi, Tanzania hakuna timu yenye uwezo wa KUPISHANA na Yanga kwa sasa, timu zote zilizoleta kiburi na kukosa heshima msimu huu zimepigwa kama ngoma πŸ₯


◉ Yanga  5 - 0  KMC

◉ Yanga  5 - 0  JKT Tanzania

◉ Yanga  5 - 1  ASAS πŸ‡©πŸ‡―

◉ Yanga  5 - 1  Simba SC

◉ Yanga  5 - 0  Jamhuri

◉ Yanga  5 - 1  Hausing Fc

◉ Yanga  5 - 0  Polisi Tanzania

◉ Yanga  5 - 0  Ihefu. 


Timu zingine zilizojaribu kuleta kiburi ziliadhibiwa pia.. Baadhi yao ;


◉ Yanga  4 - 0  CR Belouizdad πŸ‡©πŸ‡Ώ

◉ Yanga  3 - 0  Medeama πŸ‡¬πŸ‡­

◉ Yanga  2 - 0  Azam FC (Ngao)

◉ Yanga  3 - 2  Azam FC

◉ Yanga  2 - 0  Singida

◉ Yanga  4 - 1  Mtibwa sugar

◉ Yanga  3 - 0  KMC

◉ Yanga  3 - 0  Geita gold


Etc...


Mpaka sasa hakuna timu iliyomzidi Yanga kwa umiliki wa Mpira katika timu zote alizocheza nazo Tanzania. 


Nini maana yake ?!


Timu zilizokubali kuwa watumwa, kuwa hazina uwezo wa kupishana na Yanga zikapaki basi watu (10) golini ndizo zilizopata kipigo kidogo. HONGERA yao πŸ‘πŸ™ƒ


◉ 1 - 0  Namungo 

◉ 2 - 1  Mashujaa

◉ 1 - 0  Dodoma jiji

◉ 0 - 0  Kagera sugar


Note ; Yanga imekuwa timu ya 1 Tanzania kushinda magoli (5) katika kila mchezo kwenye michezo (8) ndani ya msimu 1 πŸ™Œ


Wewe timu yako haijapigwa (5) na Yanga msimu huu ?!  HONGERA πŸ™Œ




Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.

DK NCHIMBI ATINGA MKOANI KATAVI