nMombea Mwenza wa urais wa CCM, Dk. Mohamed Gharib Bilal, akisalimiana na motto wa Kijiji cha Lamadi eneo la Nyamikoma Wilaya ya Busega, wakati alipofika katika Jimbo la Busega kufanya mkutano wa kampeni  na kumnadi mgombea ubunge wa jimbo hilo, Dk. Titus Kamani. Picha na Muhidin Sufiani

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAMBO 5 YA KILA MWANANDOA KUFAHAMU