Kila mwanamke anaweza kuishi na mwanaume wa hali ya chini kimaisha awe anampenda tu
Kila mtu ana mtu anayempenda na kumthamini
Kila MWANAMKE ana nauli ya kwenda kwa mwanaume anayemuelewa na kumpenda sana
Kila MWANAUME anaweza kutumia chochote alichonacho hata akiba yake kutoa mahari kwa mwanamke anayempenda na anayemulewa
Kila MWANAUME humsikiliza na kuupokea ushauri wa mwanamke anayempenda bila kumdharau kwasababu ya uanamke wake.
Kila mtu ana uwezo wa kusimama na mtu anayempenda kumlinda asidhalilishwe, asikosewe heshima kwa namna isiyofaa katika kile anachoweza kusimama na kumheshimisha
Kila mtu hufurahia penzi na mtu anayempenda hasa yule wa HISIA zake. Yule wa matamanio yake yule wa hisia zake akifanya naye anaenjoy
Comments