 |
Wakazi wa Jiji wakiangalia daladala namba T 195 BRV, lililopata ajali ya kuangukiwa na nguzo ya umeme maeneo ya Kipawa, Barabara ya Nyerere, Dar es Salaam leo. Katika ajali hiyo iliyohusisha daladala zingine mbili namba T 808 AEZ na T 403 BSH, watu wanne walijeruhiwa na nguzo 22 zilianguka kuanzia JET hadi Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, kutokana na upepo mkali |
Daladala zikiwa zimezingirwa na nya za umeme
Moja ya nguzo iliyoanguka ikionekana dhahiri jinsi ilivyokuwa imeoza chini
Mkazi wa Jiji akipita chini ya nyaza za umeme
Comments