SIMBA, JKT RUVU NGOMA DROOOOO

 Mrisho Ngassa  wa Simba, akichupa na mpira huku akikatwa kwanja na Dams Makwaya wa JKT Ruvu, wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom, uliochezwa Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Simba 1, JKT RUVU 1
Mashabiki wa Simba wakifuatilia mchezo kati ya timu yao hiyo na JKT Ruvu, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAMBO 8 MWANAMKE HUFANYA KWA MWANAUME ANAYEMPENDA

SALMA KIKWETE, WAWATA WAMPAISHA PROF. NDAKIDEMI