Katibu Mkuu akzungumza jambo na Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Rukwa, Bupe Mwakang'ata. kwenye viwanja vya Bunge baada ya kushuhudia uwasilishwa wa Bajeti ya Serikali 2024/2025 bungeni Dodoma Juni 13, 2024
Katibu Mkuu akiteta jambo na Mbunge wa Kilombero, Abubakar Asenga kwenye viwanja vya Bunge baada ya kyshuhudia uwasilishwa wa Bajeti ya Serikali 2024/2025 bungeni Dodoma Juni 13, 2024.
Akizungumza na Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Manyara, Regina Ndege.
Akisalimiana na Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Daniel Sillo.
Akizungumza jambo na Mbunge wa Viti Maalumu, Khadija Taya maarufu Keisha.
Akizungumza na Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Singida, Martha Gwau.
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA
MSIMAMIZI MKUU
KAMANDA WA MATUKIO ONLINE TV
0754264203
Comments