ELIMU: "THE DIALOGUE"MJADALA WENYE MAPENDEKEZO YA UBORESHAJI WA UFUNDISHAJI, UJIFUNZAJI NA UELEWA WA WANAFUNZI WETU*
Tarehe:
25 - 27 Machi 2025
*Wataalamu:*
1. Dr Zabron Kengera, UDSM
2. Dr George Kahangwa, UDSM
3. Mr Japhet Makongo, Ubunifu Associates
*Washiriki (MusomaVijijini):*
*Walimu Taaluma Shule za Msingi (120)
*Walimu Taaluma Sekondari (28)
*Walimu Wakuu Shule za Msingi (120)
*Wakuu wa Shule za Sekondari (28)
*Afisa Elimu Kata (21)
*Watendaji wa Kata (21)
*Watendaji wa Vijiji (68)
Viongozi wengine washiriki
*Madiwani 28
*Mkurugenzi wa Halmashauri (DED)
*Afisa Elimu Wilaya (2 DEOs)
*Wakuu wa Shule Wastaafu (2)
Mahali:
Ukumbi wa Kanisa Katoliki, Mugango
*Tarehe 25 March 2025*
*Asubuhi: Saa 3-6: Walimu Taaluma
Shule za Msingi & Sekondari
*Mchana: Saa 8- 11: Viongozi
Watendaji Kata (WEO)
Afisa Elimu Kata
*Tarehe: 26 Machi 2025*
*Asubuhi: Saa 3-6: Shule za Msingi
Headteachers/Headmistresses
*Mchana: Saa 8- 11: Shule za Sekondari
Headmasters/Headmistresses
*Tarehe 27 March 2025*
*Asubuhi: Saa 3 -6
Mapendekezo kuwasilishwa
DC, DED, DEOs, WEOs, VEOs
Madiwani
Mbunge wa Jimbo
Mchana: Saa 8- 11 (Majumuhisho)
Mgeni Rasmi: DC Mhe Juma Chikoka
(i) Utekelezaji wa Mapendekezo
(way forward)
(ii) Zawadi: waliofanya vizuri Mwaka 2024
(motisha)
Ofisi ya Mbunge
Jimbo la Musoma Vijijini
www.musomavijijini.or.tz
P. O. Box 6
Musoma
Tarehe:
Jumapili, 23 Machi 2025
21:35 hrs
Comments