Mkurugenzi
Mkuu wa Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF), Masha Mshomba akizungumza
katika mkutano na waandishi wa habari kwenye Ukumbi wa Idara ya Habari – MAELEZO
jijini Dodoma Machi 17, 2025, ambapo ameelezea mafanikio lukuki ya mfuko huo,
kuelekea maadhimisho ya miaka minne ya Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa
na Rais Samia Suluhu Hassan.
Maafisa wa NSSF wakijadiliana jambo.
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA
MSIMAMIZI MKUU
KAMANDA WA MATUKIO ONLINE TV
0754264203
Comments