š°...Baada ya mchezo dhidi ya Coastal Union kutamatika hapo jana wachezaji wa klabu ya Young Africans Sports Club wamepewa mapumziko ya takribani siku 6 kuanzia leo hivyo wanatakiwa kurudi mazoezini siku ya Jumatano ya tarehe 19.03.2025.
š°...Mazoezi hayo yatakuwa maalumu kwa michezo ijayo hususani mchezo wa #NBCPremierLeague dhidi ya Tabora United utakaopigwa tarehe 01, Aprili 2025.
Comments