ZIJUE AINA 6 ZA WANAUME NA TABIA ZAO

01: MWANAUME Ahadi Hewa


 
02: MWANAUME Mgomvi Na Mkali

03: MWANAUME Mgawa Mbegu

04: MWANAUME MZIGO

05: MWANAUME Sungura

06: MWANAUME Halisi

Leo Katika Makala hii Tutaangalia Aina Ya Kwanza na Ya Tano.

..MWANAUME AHADI HEWA.. Kwa Lugha Ya Kigeni anaitwa "An Empty Promise Man"

Hawa Ni Wanaume Ambao wana Lugha Laini Sana, wanapenda Kutoa Ahadi Ambazo sio rahisi kuzitimiza.

Yaani wanaitwa " They Promise What They Can't Perform"

Atakuahidi Ahadi Nyingi Ikiwemo Ndoa Lakini Kumbe ni Sound Tu.

MARA Nyingi Huwa wanakupenda Kwa kusudi Lao Binafsi TU ( Own Intension) siku ukijilegeza ukawapa wanachotaka hutawaona TENA.

NINI Cha Kufanya Unapokutana Na Mwanaume Wa Hivi?

MARA TU ukigundua Hili ...Muombe Akuonyeshe Kesho Yake Na wewe ( Your Future)

Kingine Akupe Deadline Ya Mahusiano Yenu (Ukomo) ukiona Kona zimekuwa Nyingi Mpige Chini huyo ni Tapeli, atakupotezea MUDA.

Aina Ya 5 ni Mwanaume SUNGURA.

Hawa Ni Wanaume Ambao huwa hawako Tayari Kugombana Wala Kushindana Na MWANAMKE.

Unaweza Hata Kumtukana, Kumdharau, Kumkejeli Na Kila Aina Ya Ubaya ukamfanyia

Na Akajifanya Ameshindwa, Hawezi Kukuacha Moja Kwa Moja ( Actively/directly)

Ila Anachofanya Atatengeneza mfumo Mpya Nje Ya wewe bila wewe Kujua.

Utakuja Kujua Muda Sana Kumbe Ana Mwanamke Nje Anapewa Vyote anavyotaka, Heshima, Hadi tendo la Ndoa la Kushiba( Heavy Sex).

Nini Ufanye Ukiwa na Aina Hii Ya Mwanaume.

Kama MUMEO Sio Mgomvi jitahidi Sana Usiwe Mgomvi wewe, MPE Utulivu ( Peace Of Mind)

Achana Na Ile Kauli Ya Kusema ..."Mwanamke Ana Kazi Mbili Kumchanganya Mwanaume anapokuwa Ametulia, Na Kumtuliza anapochanganyikiwa😄.

Kwa huyu utapigwa Tukio Bila WEWE.

___________

Zingine Tukamalizie Kwenye Kitabu Cha "MWANAMKE NA NDOA"

Kwenye Kitabu Hiki nimetaja Zote Na Kuelezea Nini Cha Kufanya.

Kinauzwa Tshs 10,000( Soft COPY) leo Natoa Ofa kwa Watu 5 WATALIPIA 4,999 TU.

Fanya Malipo Kupitia namba...

075 967 1600( M-PESA)jina RAJAB IZENGO

Baada Ya Kulipia Nitumie Uthibitisho wa MUAMALA wako WhatsApp 👇

Bofya namba hii 0699 271 600 

TO DO IS TO DARE Paul Izengo


 

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

RAIS TRUMP ARARUANA NA RAIS WA UKRAINE

MWABUKUSI ATOA NENO SIMBA KUSUSIA DERBY DHIDI YA YANGA

SERIKALI YALIKUBALI OMBI LA DIAMOND

HOSPITALI YA MUHIMBILI YAANZISHA HUDUMA YA KISASA YA KUZIBA MAPENGO

ARAJIGA AULA KOMBE LA DUNIA