Askofu Evance Chande wa Kanisa la Assemblies of God (KAG) la Ipagala jijini Dodoma, amewaongoza waumini wa kanisa hilo kutoa msaada wa maziwa kwa watoto wanaozaliwa njiti katika Hospitali ya Rufaa ya Dodoma Aprili 15, 2025.IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA
MSIMAMIZI MKUU
KAMANDA WA MATUKIO ONLINE TV
0754264203
Comments