Afisa Habari wa Yanga SC, Ali Kamwe leo (March 31) saa sita (6:00) mchana anawaalika mashabiki na wanachama wa Yanga mkoa wa Tabora katika uwanja wa Chipukizi kwa ajili ya kula pilau pamoja kwenye sikukuu ya Eid.
Kuna zaidi ya ng'ombe 20 zitachinjwa kesho March 31 kwa ajili ya mashabiki na wanachama.
Comments