Sekta ya kilimo ni muhimu katika uchumi wa nchi nyingi duniani. Bara la Afrika nalo, kwa asilimia kubwa watu wake wanategemea kilimo.
Lakini katika baadhi ya nchi, sekta ya kilimo imeshindwa kuendana na kasi ya mabadiliko ya teknolojia inayofanyika katika kilimo, hivyo nchi nyingi kushindwa kuwa na chakula cha uhakika.
Hata hivyo, kuna baadhi ya nchi za Afrika zinaongoza kwa uzalishaji wa mazao ya kilimo. Hizi ni baadhi ya nchi hizo.
Comments