Harakati za Mwaikenda zinakuletea baadhi ya mambo yaliyojiri wakati wa maadhimisho ya mwaka mmoja wa Kanisa la Karmeli Assemblies of God (KAG) katika Kata ya Chifutuka Wilaya ya Bahi mkoani Dodoma, ambapo mambo yalianza kwa burudani za kila aina ikiwemo ngoma hii ya kabila la wasukuma.
Hapa ni Askofu Mkuu wa kanisa la Karmeli, Dkt. Evance Chande akitoa pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan kwa kazi kubwa aliyoifanya kuboresha huduma za afya hadi vijijini.
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA MSIMAMIZI MKUU
KAMANDA WA MATUKIO ONLINE TV
0754264203
Comments