Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Said Mtanda akizungumza na waandishi wa habari katika Ukumbi wa Idara ya Habari MAELEZO jijini Dodoma Julai 16, 2025, kuhusu mafanikio ya mkoa huo katika miaka minne ya Serikali ya awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan
Waandishi wa Habari wakiwa katika mkoa huo.
Afisa Habari wa Idara ya Habari MAELEZO, Kelvin Kanje akiruhusu wanahabari kuuliza maswali.
MSIMAMIZI MKUU
KAMANDA WA MATUKIO ONLINE TV
0754264203
Comments