RAIS SAMIA KUZINDUA DIRA MPYA YA TAIFA YA MAENDELEO 2050


Katibu Mtendaji wa Tume ya Taifa ya Mipango, Dkt. Fred Msemwa akizungumza na waandishi wa habari katika Ukumbi wa Idara ya Habari MAELEZO jijini Dodoma Julai 15, 2025, kuhusu uzinduzi wa Dira mpya ya Taifa ya Maendeleo 2050. utakaofanywa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan kwenye Ukumbi wa Jakaya Kikwete Dodoma Julai 17, 2025.
Mkuu mpya wa Kitengo cha Uhusiano na Mawasiliano wa Tume ya Taifa ya Mipangp, Titus Kaguo (kushoto) akiteta jambo na Katibu Mtendaji wa Tume hiyo, Dkt. Msemwa wakati wa mkutano huo.
Waandishi wa Habari wakiwa katika mkutano huo.









 

IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA 
MSIMAMIZI MKUU 
KAMANDA WA MATUKIO ONLINE TV
 0754264203

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

DUNIA NI KATILI SANA KWA MWANAUME MASIKINI

MAKUNDI YA VILABU VINAVYOSHIRIKI KOMBE LA DUNIA 2025.

MWANAUME USIPITWE NA HILI, INASIKITISHA...?!!!

DIARRA KIPA BORA TANZANIA

HUYU NDIYE MWANAMKE WA KUOA

CHINYELE ACHUKUA FOMU KUOMBA RIDHAA YA KUGOMBEA UBUNGE DODOMA MJINI