Mwanamke Mkazi wa Kigoma, akielezea kuhusu siri ya mtungi aliobeba pamoja na mafanikio lukuki yaliyopatikana katika kipindi cha miaka minne cha uongozi wa Dkt. Rais Samia Suluhu Hassan, katika Mkutano wa kampeni za Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM, Dkt. Samia Suluhu Hassan eneo la Kazuramimba, Uvinza mkoani Kigoma Septemba 13, 2025.
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA
MSIMAMIZI MKUU
KAMANDA WA MATUKIO ONLINE TV
0754264203
Comments