Baadhi ya wanawake wakazi wa Makunduchi Zanzibar wakielezea jinsi walivyonufaika na uongozi wa Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan na Mgombea Urais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Dkt. Hussein Ali Mwinyi kwa kuwajengea shule nzuri za ghorofa na hospitali za kisasa.
Wanawake hao walishiriki katika mkutano wa kampeni za wagombea hao eneo la Makunduchi, Mkoa wa Kusini Unguja, Zanzibar Septemba 17, 2025
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA
MSIMAMIZI MKUU
KAMANDA WA MATUKIO ONLINE TV
0754264203
Comments