DKT. SAMIA AMKABIDHI JOHN NCHIMBI ILANI

Mgombea wa nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan akimkabidhi kitabu cha Ilani ya (CCM) 2025-2030 Mgombea Ubunge wa Jimbo la Nyasa Ndugu John John Nchimbi mara baada ya kuwanadi na Wagombea Ubunge  wengine na Madiwani wa mkoa huo kwenye mkutano wa hadhara wa Kampeni uliofanyika Mbamba Bay, Nyasa  leo Jumapili Septemba 21, 2025 mkoani Ruvuma. @ccmtanzania @samia_suluhu_hassan @nchimbie #KazinaUtuTunasongaMbele



 

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

NENO KUNTU LA UMMY MWALIMU ALILOLITOA BAADA YA KUTEMWA KUGOMBEA UBUNGE

WAGOMBEA WALIOENGULIWA CCM LICHA YA KUONGOZA KURA ZA MAONI

CHONGOLO AMKUMBUKA DKT. ASHA-ROSE MIGIRO-

MBINU ZITAKAZOKUFANYA USIISHIWE PESA

DKT. MIGIRO AKIWASHA KAMPENI ZA DKT. SAMIA MAKAMBAKO

WALIOKUWA WABUNGE WALIOPITIWA NA MKASI WA WAJUMBE