DKT.SAMIA KUITIKISA PEMBA LEO


Baada ya kumaliza  kampeni zake katika Kisiwa cha Unguja kwa kufanya eneo la Makunduchi  Mkoa wa Kusini Unguja alikozaliwa na Nungwe Mkoa wa Kaskazini Unguja, leo Septemba 19, 2025 ataendelea na  kampeni kwenye Uwanja wa Gombani ya Kale,  Chakechake, Pemba.


 ‎Aidha, Dkt. Samia amesema akichaguliwa katika Uchaguzi Mkuu Oktoba 29, 2025 na kupata ridhaa ya kuongoza nchi atahakikisha anakamilisha miradi mbalimbali ya maendeleo ikiwemo miundombinu ya maji, afya, elimu,  nishati na mingineyo.

‎Katika mikutano hiyo, Dkt. Samia huwa anajinadi kwa kuelezea mafanikio makubwa ya maendeleo yaliyofanywa na Serikali ya Awamu ya Sita na kutoa ahadi ya utekelezaji wa miradi mbalimbali.

‎Pamoja na kuelezea kwa undani Ilani ya uchaguzi ya chama hicho, Dkt. Samia ambaye mgombea wake mwenza ni Dkt. Emmanuel Nc

himbi, hutumia fursa hiyo kuwanadi wagombea ubunge, wawakilishi na madiwani wa chama hicho. 

‎Baada ya uzinduzi wa kampeni kwenye Uwanja wa Tanganyika Packers, Kawe Jijini Dar es Salaam Agosti 28, 2025 leo mgombea huyo amemaliza kwa kishindo mkoa wa nane wa Tabora baada ya kufanikisha kwa kiwango cha hali ya juu  kampeni katika mikoa ya Morogoro, Dodoma, Songwe, Mbeya, Njombe, Iringa na Singida. 

 a kwenye viwanja vya Tanganyika Packers, Kawe Jijini Dar es Salaam Agosti 28, 2025, kesho Septemba 17, 2025 Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan anaingia kwa kishindo Tanzania Visiwani  baada ya kufanikisha kwa kiwango cha hali ya juu kampeni zake Tanzania Bara katika mikoa tisa ya Morogoro, Dodoma, Songwe, Mbeya, Njombe, Iringa, Singida, Tabora na Kigoma.



Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

NENO KUNTU LA UMMY MWALIMU ALILOLITOA BAADA YA KUTEMWA KUGOMBEA UBUNGE

WAGOMBEA WALIOENGULIWA CCM LICHA YA KUONGOZA KURA ZA MAONI

CHONGOLO AMKUMBUKA DKT. ASHA-ROSE MIGIRO-

MBINU ZITAKAZOKUFANYA USIISHIWE PESA

DKT. MIGIRO AKIWASHA KAMPENI ZA DKT. SAMIA MAKAMBAKO

WALIOKUWA WABUNGE WALIOPITIWA NA MKASI WA WAJUMBE