Baadhi ya wakazi wa Wilaya ya Urambo mkoani Tabora wakielezea jinsi wanafurahishwa na uongozi wa Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM, Dkt Samia Suluhu Hassan na kuahidi kumpigia kura Oktoba 29, 2025.
Wametoa ahadi hiyo wakati wa mkutano wa kampeni za CCM katika Uwanja wa Samora, Urambo Septemba 11, 2025.
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA
MSIMAMIZI MKUU
KAMANDA WA MATUKIO ONLINE TV
0754264203
Comments