Maelfu ya Wananchi wa Lamadi wilayani Busega mkoani Simiyu wakiwa pamoja na Viongozi mbalimbali wa Chama na Jumuiya, Viongozi wa Dini na Machifu kwa umoja wao wamempokea Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dkt. Asha-Rose Migiro leo tarehe 9 Oktoba 2025.
Pamoja na mambo mengine, Dkt. Migiro ametanguliza salamu za upendo na ujio wa Mgombea Urais wa Tanzania kupitia CCM, Rais Dkt. ๐ฆ๐ฎ๐บ๐ถ๐ฎ ๐ฆ๐๐น๐๐ต๐ ๐๐ฎ๐๐๐ฎ๐ป ambaye pamoja na kuja kusalimia, atanadi ilani ya CCM, Sera na Ahadi zake na kuomba kuwa kwa mafiga matatu.
#SafariYaCCM
#KaziNaUtuTunasongaMbele
#Oktoba29Tunatiki๐น๐ฟ✅
Comments