TAIFA NI LETU TUHAKIKISHE TUNALIJENGA, VIJANA TUSIDANGANYIKE - MBUNGE MATIKO



Mbunge wa Tarime Mjini, Esther Matiko amewataka watanzania kuacha kudanganyika kushiriki matendo maovu ama vurugu bali waungane kulijenga Taifa. Aidha, Matiko ametoa neno la pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan kwa hotuba nzuri aliyoitoa kwa Taifa kupitia mkutano na wazee wa Mkoa wa Dar es Salaam Desemba 2, 2025 kwenye Ukumbi wa JNICC jijini Dar es Salaam. Ameyasema hayo wakati wa Kongamano la Wanawake Tanzania lililokuwa na kauli mbiu ya Mama ni Amani kwenye Ukumbi wa Jakaya Kikwete jijini Dodoma Desemba 4, 2025. IMENDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA - 0754264203

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

VITU 10 WANAUME WANAVYOPENDA ZAIDI TOKA KWA MWANAMKE — SIYO SURA, SIYO MWILI ❤️

WALIOCHUKUA FOMU CCM ZA KUWANIA USPIKA HAWA HAPA

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

๐Œ๐‰๐”๐„ ๐Š๐€๐‚๐‡๐„๐‘๐Ž ๐Œ๐™๐„๐๐€

UKWELI KUHUSU TENDO LA NDOA NA FAIDA ZAKE

HUYU NDIYE WANU HAFIDH, CHAMPIONI WA ELIMU

MAWAZIRI WALIOACHWA HAWA HAPA

INSTAGRAM WAFUNGA RASMI KURASS ZA MANGE KIMAMBI