VIJANA WAITWA JKT KUPATA MAFUNZO YA UZALENDO MITANDAONI

Brigedia Jenerali, Hassan Mabena Mkuu wa Tawi la Utawala wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT),  akitangaza kwa niaba ya Mkuu wa JKT, Meja Jenerali  Rajabu Mabele nafasi za vijana wa kujitolea  kujiunga na mafunzo ya  jeshi hilo ambapo pamoja na mambo mengine vijana hao watapata mafunzo ya uzalendo wa Nchi katika  mitandao.


 Usajili kwa vijana raia wa Tanzania Bara na Visiwani utaanza Januari 26 hadi Februari 26, 2026 na watatakiwa kuripoti katika makambi ya JKT kuanzia Februari 27 hadi Machi 4 mwaka huu.


Nafasi hizo zimetangazwa mbele ya waandishi wa habari katika mkutano uliofanyika Makao Makuu ya JKT jijini Dodoma leo Januari 20, 2026.
Brigedia Jenerali Hassan Mabena 
IMENDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA -0754264203

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

AINA 4 ZA WANAWAKE WASIOWEZA KUDUMISHA NDOA.

MVUA KUBWA KUNYESHA MIKOA 20

MAPACHA WATATU FAMILIA YA MWAIKENDA WAPATA KIPAIMARA

MIKOA 10 YENYE KIPATO KIKUBWA ZAIDI KWA MTU MMOJA MMOJA

BODABODA ALIPWA PIKIPIKI BAADA KUSAFIRI KWA BODA KWA SAA 10 MBEYA HADI DAR