MTANZANIA GEAY AIBUKA BINGWA DAEGU MARATHON 2026

 


Mwanariadha wa Tanzania, Gabriel Gerald Geay, ameibuka mshindi wa mbio za Daegu Marathon 2026.


Mbio hizo zimefanyika tarehe 22 Februari, 2026 katika Mji wa Daegu, Korea Kusini, ambapo Geay ameongoza kwa kutumia muda wa saa 2:08:08.


Geay ameandika rekodi ya kushinda medali ya Dhahabu kwa mara ya pili mfululizo, baada ya kutwaa ushindi huo pia mwaka jana.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

Wasifu wa Kizza Besigye

KILA MWANAMKE ANAPASWA KUFAHAMU HII...

Kizza Besigye ‘akamatwa’ tena Uganda

MBUNGE DKT. MAJULE ATOA MSAADA WA VYAKULA, VYANDARUA 100 SHULE YA VIZIWI DODOMA

MAMBO MADOGO YANAYOVUTIA KWA MPENZI WAKO

DKT. MAJULE AKABIDHIWA CHETI CHA SHUKRANI UWT DODOMA KUFANIKISHA USHINDI WA CCM 2025

UWT YATOA MSAADA WA VIFAA TIBA HOSPITALI YA RUFAA DODOMA

30 TANZANIAN PROJECTS IN THE NEXT 10 YEARS