CHATANDA AWEKA WAZI SIRI YA USHINDI MKUBWA WA RAIS SAMIA

Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake wa wa Chama Cha Mapinduzi Tanzania (UWT), Mary Chatanda akielezea ushindi mkubwa alioupata Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan wa zaidi ya  asilimia 97 na CCM kwa ujumla katika uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025.

Chatanda ambaye pamoja na mambo mengine alipokuwa akihutubia wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa Baraza Kuu la UWT Makao Makuu ya CCM jijini Dodoma Februari 14, 2026, amesema kuwa ushindi huo mkubwa kwa asilimia kubwa umechangiwa na wanawake kutokana na mkakati mkubwa ulioratibiwa na UWT. .


Mwenyekiti wa UWT, Mary Chatanda akihutubia katika mkutano huo.

Chatanda akikabidhi vyeti vya shukrani na pongezi kwa baadhi ya viongozi wa UWT mikoa na waliongoza kampeni kikanda.







IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA - 0754264203

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

OWM–TAMISEMI YASHINDA TUZO YA MABADILIKO YA KIDIJITALI KATIKA TEHAMA AWARDS 2026

NI MAKOSA WANAFUNZI KUFIKA SHULE SAA 1:15 ASUBUHI

MAFAO YA MAKAMU WA RAIS ALIYEJIUZULU

VIONGOZI NA WATENDAJI WA MATAWI UVCCM PANGANI WANOLEWA

NMB YAWAUNGANISHA WANANCHI NA HUDUMA, FURSA ZANZIBAR