Naibu Waziri wa Afya, Dkt.Florence Samizi akizindua Mpango Mkakati Jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania wa Chama Cha Mapinduzi (UWT), wa kuelimisha jamii kuhusu umuhimu wa Bima ya Afya kwa Wote.
Uzinduzi huo umefanyika wakati wa mafunzo kwa wajumbe wa Baraza Kuu la UWT kwenye ukumbi wa White House Makao Makuu ya CCM Dodoma leo Februari 14,2026.
Wanaoshuhudia ni Mwenyekiti wa wa UWT, Mary Chatanda (wa pili kulia), Makamu Mwenyekiti wa UWT, Zainabu Shomari (kulia) na Katibu Mkuu wa umoja huo,Suzan Kunambi.
Dkt. Samizi akionesha mpango huo.
Samizi akimkabidhi mpango huo Zainabu Shomari.
Viongozi wakionesha mpango huo.
Baadhi ya wajumbe wakiwa na mpango huo.
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA - 0754264203
Comments