Wakurugenzi walioongoza Idara ya Usalama wa Taifa Tanzania (Tiss)
1. Emilio Mzena (1961 - 1975) alidumu kwa takribani miaka kumi na nne (14).
2. Lawrence Gama ( 1975 - 1978) alifanikiwa kudumu kwa miaka mitatu tu.
3. Dkt. Hassy Kitine( 1978 -1980) alidumu kwa miaka miwili tu.
4. Dkt. Augustine Mahiga ( 1980 - 1983) alidumu kwa miaka mitatu tu.
5. Luteni Jenerali Imran Kombe (1983 - 1995) alidumu kwenye nafasi hiyo kwa miaka 13, Lakini aliuwawa na polisi Juni 30, 1996.
6. Kanal Apson Mwang'onda (1995 - 2005) alidumu kwa takribani miaka 10 tu.
7. Othiman Rashid ( 2005 - 2016) Alihudumu kwenye kazi hiyo kwa miaka kumi na moja.
8. Dkt. Modestus Kapilimba (2016 - 2019) alidumu kwenye ngazi hiyo kwa miaka Mitatu tu.
9. Diwani Athuman Msuya ( 2019 - 2023) Miaka mitatu tu ilimtosha kufanya kazi hiyo.
10. Said Hussein Masoro ( Jan, 2023 - Agosti 2023) Miezi nane tu na akamkabidhi kijiti mtu mwingine.
11. Balozi Ali Idi Siwa ( Agost 2023 )
12. Selemani Mombo. ( Hadi sasa)

Comments