ZAIDI YA WAANDISHI WA HABARI 3200 WAMEPATA ITHIBATI

Na Richard Mwaikenda, Dodoma

Zaidi ya waandishi wa habari 3200 kati ya 3900 walioomba vitambulisho vya uandishi wa habari (Press Card) baada ya kuthibishwa na Bodi ya Ithibati ya Waadishi wa habari (JAB).

Tarifa hiyo imetolewa na Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa JAB, Wakili Patrick Kipangula alipokuwa akiwasilisha mada kuhusu umuhimu wa Ithibati kwa watangazaji na waandishi wa habari katika Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Vyombo vya Utangazaji (ABC) Februari 13, 2026 jijini Dodoma.

Mkutano huo wa siku mbili ulioanza jana na kufunguliwa na Naibu Waziri wa Habari Utamaduni, Sanaa na Michezo, Hamisi Mwinjuma umeandaliwa na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA).

Baadhi ya washiriki wa mkutano huo ni wanachama wa Mtandao wa Mabloga Tanzania (TBN), Jumuiya ya  Mitandao ya Kijamii Tanzania (JUMIKITA), Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), MOAT, NIBA, Wakongwe RTD, Baraza la Habari Tanzania (MCT), MISA Tanzania na EACO.














 

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

BODABODA ALIPWA PIKIPIKI BAADA KUSAFIRI KWA BODA KWA SAA 10 MBEYA HADI DAR

ASANTE GWIJI YAYA TOURE KWA KUPASUA UKWELI UKWELI KUPENDELEWA KWA MOROCCO

CONFIRMED HAWA NDIO WACHEZAJI WETU 12 WA KIGENI 🦾

Wasifu wa Kizza Besigye

KILA MWANAMKE ANAPASWA KUFAHAMU HII...

RAIS WA SENEGAL AWAPATIA ZAWADI NONO WACHEZAJI WALIOFANIKISHA UBINGWA WA AFCON 2025

NYOMI YA WASENEGALI WAKISHANGILIA UBINGWA WA AFCON 2025

TANZANIA YAPANDA VIWANGO VYA FIFA

CCM YAMJIBU BUTIKU CHADEMA KUFUNGIWA