MWILI WA MAREHEMU LUKUVI WAWASILI DAR

 

Mwili wa aliyekuwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu) Marehemu Mhe. William Lukuvi (Mb), umefikishwa Jijini Dar es Salaam kwa ajili ya shughuli ya kuaga inayotarajiwa kufanyika kesho tarehe 28 Machi, 2026 katika Viwanja vya Karimjee.


Mwili huo umesafirishwa leo tarehe 27 Machi, 2026 baada ya shughuli ya kuaga iliyofanyika katika Viwanja vya Bunge Jijini Dodoma.

Mhe. Lukuvi amefariki dunia  tarehe 25 Machi, 2026 katika Hospitali ya Benjamin Mkapa alipokuwa akipatiwa matibabu.




 

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

KWA KHERI MAKARANGA UMEUTIMIZA MWENDO...

Wasifu wa Kizza Besigye

KATI YA WATOTO 7 WA HAYATI MAGUFULI ANAYEJULIKANA ZAIDI NI JESCA

Kizza Besigye ‘akamatwa’ tena Uganda

KIKOSI KILICHOITWA TAIFA STARS HIKI HAPA

UBORA UNAONEKANA: BENKI YA NMB YANG'ARA TUZO ZA EUROMONEY 2026

KIJANA WA KINYAKYUSA WA ENZI HIZO, NUSURA AMCHAPE WAZIRI MUONGO BUNGENI

IRAN YAMTANGAZA AYATOLLAH MPYA

IRANI ILIJARIBU KUMUUA TRUMP