Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Anjela Kairuki akiwasilisha bungeni Aprili 30, 2026 hotuba iliyojaa maono ya makadirio ya Bajeti ya wizara hiyo kwa mwaka wa fedha wa 2026/2027, ambapo aliliomba Bunge kuidhinisha zaidi ya sh. bil. 222 ambazo zilipitishwa kwa kishindo na wabunge.
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA -0754264203

Comments