BENKI YA NMB YASHIRIKI MAADHIMISHO SIKU YA WAFANYAKAZI DUNIANI MKOANI NJOMBE

 Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani ni fursa ya kutambua mchango wa wafanyakazi katika maendeleo ya taifa.

Kama Mwajiri Kinara nchini, tumedhamini na kushiriki maadhimisho ya Mei Mosi yaliyofanyika kitaifa mkoani Njombe, yakihusisha wafanyakazi kutoka sekta za umma, binafsi, taasisi na mashirika mbalimbali nchini.

Katika maadhimisho hayo, tumepokea tuzo kama mdhamini wa kufanikisha maadhimisho haya, iliyotolewa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, na kupokelewa na Afisa Mkuu wetu wa Rasilimali Watu, Emmanuel Akonaay.

#MeiMosi #WorkersDay #NMBKaribuYako






Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

Kizza Besigye ‘akamatwa’ tena Uganda

Wasifu wa Kizza Besigye

AINA 10 ZA WANAWAKE AMBAO BIBLIA INAKUONYA UWAEPUKE

MAJANI YA MAPERA NA MATUMIZI YAKE YA KITIBA

RAIS ALİYEISHI KAMA MUNGU WAKATI WATU WAKE WAKIFA NJAA

ZIJUE TIBA ZA MMEA WA MSHONA NGUO.