SERIKALI KUUNGA MKONO UJENZI WA KITUO CHA AFYA LUGENGE NJOMBE MJINI


 Mbunge wa Njombe Mjini, Deodatus Mwanyika ameihoji Serikali bungeni Dodoma Mei 18, 2026, kwamba ina mipango gani ya kuwaunga mkono wananchi kusaidia ujenzi wa Kituo cha Afya Lugenge katika Jimbo la Njombe Mjini ambacho yeye na wananchi wametoa mchango kuanzisha ujenzi wake? Mwanyika amehoji hilo wakati wa kipindi cha maswali na majibu bungeni na kujibiwa na Naibu Waziri TAMISEMI, Dkt. Festo Ndugange.

IMENDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA - 0754264203

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

Kizza Besigye ‘akamatwa’ tena Uganda

Wasifu wa Kizza Besigye

TANZIA;.KWA KHERI DADA YETU MPENDWA EDITHA, TASNIA IMEPATA PIGO

IJUE HISTORIA YA PACOME ZOUZOUA

NATAKA TANZANIA, KENYE NA UGANDA IWE NCHI MOJA, ILI BAHARI YA HINDI IWE YETU SOTE - MUEVENI

RAIS SAMIA AWASILI IRINGA KWENDA MEI MOSI NJOMBE