Chaba amewaongoza Wahadzabe wenzake kuipamba Bajeti ya Wizara ya Maliasili na Utalii waliposhirikishwa kumlaki Waziri wa Wizara ya hiyo, Dkt. Ashatu Kijaji alipowasili na mkoba wa Bajeti kwenye viunga vya Bunge jijini Dodoma Mei 15, 2026.
Chaba na Jamii hiyo ya Kihadzabe waligeuka kivutio kikubwa kwenye viwanja vya Bunge ambapo baadhi ya mawaziri, wabunge, watumishi wa bunge, waandishi wa habari na wageni walikuwa wanaomba kupiga nao na picha hasa Chaba.

IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA - 0754264203




Comments