Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda akiwa na furaha baada ya Bajeti ya wizara hiyo kupita bila kupingwa bungeni Dodoma Mei 4, 2026.
Makonda akipongezana na Naibu Waziri wa wizara hiyo,Mwnjuma baada ya Bajeti hiyo kupitishwa.
Wabunge na mawaziri wakimpongeza Makonda na Mwijuma baada ya Bajeti hiyo kupitishwa.



Comments