KAMBARAGE, CHUMI, KANGE KUWANIA UJUMBE BUNGE LA AFRIKA MASHARIKI

Katibu wa Bunge, Baraka Leonard ametangaza majina ya matatu ya watanzania walioteuliwa kugombea ujumbe wa Bunge la Afrika Mashariki katika uchaguzi utaofanyika Jumatatu Mei 4, 2026 bungeni Dodoma. Majina hayo yametangazwa mbele ya vyombo vya habari jijijini Dodoma Aprili 30, 2026 baada ya kuchujwa katika kikao cha wabunge wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kilichofanyika kwenye Ukumbi wa Pius Msekwa. Wagombea hao ni; (a) Ndg. Fatuma Abdallah Kange (b) Ndg. Cosato David Chumi (c) Ndg. Kambarage Masato Wasira







Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

Kizza Besigye ‘akamatwa’ tena Uganda

Wasifu wa Kizza Besigye

AINA 10 ZA WANAWAKE AMBAO BIBLIA INAKUONYA UWAEPUKE

MAJANI YA MAPERA NA MATUMIZI YAKE YA KITIBA

RAIS ALİYEISHI KAMA MUNGU WAKATI WATU WAKE WAKIFA NJAA

ZIJUE TIBA ZA MMEA WA MSHONA NGUO.