MWALUNENGE AMPONGEZA RAIS SAMIA KUBORESHA SEKTA YA KILIMO NCHINI

 


Mbunge wa Mbeya Mjini, Patrick Mwalunenge ameipongeza Serikali inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan kwa kutoa ruzuku katika mbolea na baadhi ya pembejeo, lakini pia ameshauri COPRA kuongezewa nguvu ya Rasilimali watu ili iendelee kufanya kazi nzuri ya kuwatumikia wakulima nchini.

Pamoja na mambo mengine ameyasema hayo alipokuwa akichangia mjadala wa makadirio ya Bajeti ya Wizara ya Kilimo kwa mwaka wa fedha wa 2026/ 2027 bungeni Dodoma Aprili 20,2026.IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA - 0754264203

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

KATIKA MWAMBA HUU NITALIJENGA KANISA.

YANGA YAMPOTEZA MAMA FATMA KARUME MWANA YANGA KINDAKI NDAKI

SERIKALI ITAENDEA KUHIMIZA MATUMIZI YA TEKNOLOJIA KUIMARISHA UTENDAJI KAZI- LONDO

MAELFU WAFURIKA TIKTOK LIVE YA DHARURA YA WAZIRI GWAJIMA KUHUSU CHANGAMOTO ZA WANAUME KWENYE NDOA