RAIS WA SHIRIKA LA KIMATAIFA LA MADAKTARI WA AFYA YA KINYWA NA MENO DUNIANI (FDI) DR. NIKOLAI SHARKOV AFURAHISHWA NA MAONESHO YA PILI YA BIDHAA ZA KINYWA NA MENO ZA KIMATAIFA (DENTAL EXPO) DAR ES SALAAM.
Rais wa Chama cha Wataalamu wa Afya
ya Kinywa na Meno Tanzania (TDA) Dkt. Gemma Berege akizungumza wakati wa Maonesho ya Pili ya Bidhaa za Kinywa na Meno
za Kimataifa ( Dental EXPO) leo
Mei 28 Ukumbi wa Mlimani City Jijini Dar es Salaam ambayo yanatarajiwa
kumalizika Mei 30,2026.
Mkurugenzi Msaidizi wa Huduma za Afya, Kinywa na Meno kutoka
Wizara ya Afya Dkt. Baraka Nzobo akitoa ufafanuzi kwa Rais wa Shirika la
Kimataifa la madaktari wa meno Duniani (FDI) Dr. Nikolai sharkov alipotembelea
moja ya Banda katika Ukumbi wa Mlimani City wakati wa Maonesho ya Pili ya
Bidhaa za Kinywa na Meno za Kimataifa ( Dental EXPO) leo Mei 28 Ukumbi wa
Mlimani City Jijini Dar es Salaam ambayo yanatarajiwa kumalizika Mei 30,2026.
Afisa Uhusiano Mwandamizi na Elimu kwa Umma wa NSSF Mery
Myamba akimkabidhi Zawadi Rais wa Shirika la Kimataifa
la Madaktari wa Maeno Duniani (FDI) Dr. Nikolai sharkov wakati wa Maonesho ya Pili ya Bidhaa za Kinywa na Meno za Kimataifa ( Dental EXPO) leo Mei 28 Ukumbi wa Mlimani City Jijini Dar es Salaam ambayo yanatarajiwa kumalizika Mei 30,2026. (NA KHAMISI MUSSA).
Washiriki wakifuatilia kwa umakini
wakati Rais wa Chama cha Wataalamu wa Afya ya Kinywa na Meno Tanzania (TDA)
Dkt. Gemma Berege alipokuwa akizungumza wakati wa maonesho ya kimaifa ya afya ya kinywa na
Meno ( Dental EXPO) leo Mei 28 Ukumbi wa Mlimani City Jijini Dar es Salaam
ambayo yanatarajiwa kumalizika Mei 30,2026.
Wawakilishi wa Wizara ya Afya wakifuatilia kwa umakini
wakati Rais wa Chama cha Wataalamu wa Afya ya Kinywa na Meno Tanzania (TDA)
Dkt. Gemma Berege alipokuwa akizungumza wakati wa maonesho ya kimaifa ya afya ya kinywa na
Meno ( Dental EXPO) leo Mei 28 Ukumbi wa Mlimani City Jijini Dar es Salaam
ambayo yanatarajiwa kumalizika Mei 30,2026.
Katibu Mstaafu wa Chama cha Wataalamu wa Afya ya Kinywa na
Meno Dkt. Gustav Rweykaza akizungumza na Rais wa Shirika la Kimataifa la
madaktari wa meno Duniani (FDI) Dr. Nikolai sharkov alipotembelea Banda la
chama hicho katika Ukumbi wa Mlimani City wakati wa Maonesho ya Pili ya Bidhaa
za Kinywa na Meno za Kimataifa ( Dental EXPO) leo Mei 28 Ukumbi wa Mlimani City
Jijini Dar es Salaam ambayo yanatarajiwa kumalizika Mei 30,2026.
Dkt. wa Kinywa na Meno wa Kampuni ya WHITEDENT Dr. Erick
Syli akizungumza na Rais wa Shirika la Kimataifa la madaktari wa meno Duniani
(FDI) Dr. Nikolai sharkov alipotembelea Banda la Kampuni hiyo katika Ukumbi wa Mlimani City wakati wa Maonesho ya Pili
ya Bidhaa za Kinywa na Meno za Kimataifa ( Dental EXPO) leo Mei 28 Ukumbi wa
Mlimani City Jijini Dar es Salaam ambayo yanatarajiwa kumalizika Mei 30,2026.
Rais wa Shirika la Kimataifa la Madaktari wa Maeno Duniani (FDI) Dr. Nikolai sharkov akiwa katika picha ya Pamoja na baadhi ya washiriki katika Ukumbi wa Mlimani City wakati wa Maonesho ya Pili ya Bidhaa za Kinywa na Meno za Kimataifa ( Dental EXPO) leo Mei 28 Ukumbi wa Mlimani City Jijini Dar es Salaam ambayo yanatarajiwa kumalizika Mei 30,2026.








Comments