DK NCHIMBI HONGERA UNAENDESHA CHAMA KISAYANSI-KIKWETE


Mwenyekiti Mstaafu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais mstaafu wa Awamu ya Nne, Dk. Jakaya Kikwete amepongeza kuteuliwa kwa Katibu Mkuu wa CCM, Dk Emmanuel Nchimbi na kwamba chama hicho kimempata mtu sahihi anayekijua chama na atakisaidia ndani na nje ya chama.

Ametoa pongezi hizo alipopata wasaa wa kuzungumza na wananchi wakati wa uzinduzi wa taarifa ya Utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi y.a CCM ya mwaka 2025 katika Jimbo la Mchinga linaloongozwa na Mbunge Salma Kikwete ambaye ni mke wake.

 

IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA MSIMAMIZI MKUU KAMANDA WA MATUKIO ONLINE TV 0754264203

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

DEMU KAMA ANAFANYA KAZI HIZI KUWA MAKINI NAE.

CPA MAKALLA 'KUUTEKA' MKOA WA ARUSHA

MAMILIONI YA CCM YATUA AKAUNTI YA TUNDU LISSU

ASKOFU CHANDE AISHUKURU SERIKALI KULIPATIA USAJILI WA KUDUMU KANISA LA KARMELI

"WANAUME WAPO GEREZANI, KABURINI"

JENGENI UWANJA WA MICHEZO WA KISASA NJOMBE-MWANYIKA