Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt Emmanuel Nchimbi akiweka shada la maua kwenye kaburi la aliyekuwa Mkurugenzi wa Tanzania One Theatre (TOT) ya CCM, marehemu Kapteni John Komba alipozuru kaburi hilo katika Kata ya Lituhi, wilayani Nyasa Mkoa wa Ruvuma wakti wa ziara ya kikazi Aprili 21, 2024. Katika tukio hilo aliambatana na Wajumbe wa Sekretarieti ya Halmashauri Kuu ya CCM, Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Amos Makalla, Katibu wa Oganaizesheni, Issa Haji Gavu na Katibu wa Idara ya Uchumi na Fedha, Dk Frank Hawasi. Dkt Nchimbi amesema kuwa CCM itaendelea kumuenzi marehemu Dkt Komba kwa mambo mazuri aliyoifanyia chama hicho na kuhakikisha hayapotei. Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Amos Makalla akiweka shada la maua kwenye kaburi hilo ikiwa ni ishara ya kumuenzi. Katibu wa Oganaizesheni, Issa Haji Gavu akiweka shada la maua kwenye kaburi la aliyekuwa msanii wa chama hicho na Mkurugenzi wa TOT. Katibu wa Idara ya Uchumi na Fedha, Dkt Frank Hawasi akiweka sha
Comments