MWILI WA REGIA MTEMA WAPOKELEWA KIFALME IFAKARA

Jeneza lenye mwaili wa aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalumu (marehemu Regia Mtema, ukiwa umewasili nyumbani kwao Ifakara leo ambako yamefanyika mazishi.

Wananchi wan Ifakara wakiandamana Alfajiri leo kkupokewa mwili wa maehemu Regia Mtema, ulipowasili kutoka Dar

Viongozi mbalimbali wakiwa jukwaa kuu wakisubiri taratibu za mazishi mjini Ifakara leo

Wananchi wakisubiri taratibu za mazishi

Comments

Mkuu mi' ni mshabiki mkubwa wa blog yako ila naomba ujitahidi kufanya proof reading. Kuna typos nyingi sana kwenye hii makala

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

KIGOGO WA CHADEMA AHAMIA CCM

DKT.NCHIMBI ATUA RASMI SONGEA KUSAKA KURA ZA CCM

DKT. SAMIA AAHIDI KUJENGA CHUO CHA UHASIBU SONGEA

IJUE HISTORIA YA PACOME ZOUZOUA