Wahitimu wa Chuo Kikuu cha Tunguu (Zanzibar University) wakiwa katika gwaride maalum wakati wa Sherehe za Mahfali ya 14 yaliyofanyika leo Desemba 7, 2016, Tunguu Wilaya ya Kati, Mkoa wa Kusini Unguja ambapo mgeni rasmi alikuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein. (PICHA NA IKULU YA ZANZIBAR)
Wahitimu wa Chuo Kikuu cha Tunguu (Zanzibar University) wakiwa katika gwaride maalum wakati wa Sherehe za Mahfali ya kumi na nne (14) yaliyofanyika leo Tunguu Wilaya ya Kati,Mkoa wa Kusini Unguja,mgeni rasmi alikuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
Wahitimu wa Chuo Kikuu cha Tunguu (zanzibar University) wakiwa katika gwaride maalum wakati wa Sherehe za Mahfali ya kumi na nne (14) yaliyofanyika leo Tunguu Wilaya ya Kati,Mkoa wa Kusini Unguja,mgeni rasmi alikuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,
Wahitimu wa Chuo Kikuu cha Tunguu (Zanzibar University) wakiwa katika gwaride maalum wakati wa Sherehe za Mahfali ya kumi na nne (14) yaliyofanyika leo Tunguu Wilaya ya Kati,Mkoa wa Kusini Unguja,mgeni rasmi alikuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikatI) na Viongozi wa Chuo Kikuu cha Tunguu (Zanzibar University) na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe,Riziki Pembe Juma (kushoto) wakisimama wakati Wimbo wa Taifa ukipigwa katika Sherehe za Mahfali ya kumi na nne (14) yaliyofanyika leo Tunguu Wilaya ya Kati,Mkoa wa Kusini Unguja
Walimu wa Chuo Kikuu cha Tunguu (zanzibar University) wakiwa katika gwaride maalum wakati wa Sherehe za Mahfali ya kumi na nne (14) yaliyofanyika leo Tunguu Wilaya ya Kati,Mkoa wa Kusini Unguja,mgeni rasmi alikuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein

Comments