KWA NIABA YA RAIS, IPG SIRRO AWAVALISHA NISHANI MAOFISA, WAKAGUZI NA ASKARI WA VYEO MBALIMBALI+video

Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania, IGP Simon Sirro leo Januari 21 akiwavalisha nishani maofisa , wakaguzi na askari wa vyeo mbalimbali waliotunukiwa nishani na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan katika hafla iliyofanyika Makao Makuu ya Jeshi la Polisi jijini Dodoma.












 

Mdau endelea kuona kupitia clip hii ya video, IGP Sirro akiwavalisha nishani askari hao.....IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA
 0754264203

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

VITU 10 WANAUME WANAVYOPENDA ZAIDI TOKA KWA MWANAMKE — SIYO SURA, SIYO MWILI ❤️

WALIOCHUKUA FOMU CCM ZA KUWANIA USPIKA HAWA HAPA

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

RAIS SAMIA SIO RAIS JOYCE BANDA WA MALAWI, TANZANIA SIO KENYA

MJUE VIZURI KOCHA MPYA WA YANGA PEDRO

MATOKEO YA DARASA LA 7 YATANGAZWA