BUTONDO:TUNAOMBA AMBULANCE IKASAIDIE TARAFA YA MONDO KISHAPU+video

 Mbunge wa Kishapu, Boniface Butondo ameiomba serikali kufanya jitihada ya kupeleka gari la wagonjwa (Ambulance) katika Kituo cha Afya kilichopo Tarafa ya Mondo wilayani Kishapu.

Butondo ametoa ombi hilo wakati wa kipindi cha maswali na majibu bungeni Dodoma leo Juni 9, 2022 na kujibiwa na Naibu Waziri Ofisi ya Rais TAMISEMI, Dkt Festo Ndugange....

Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Butondo akipambania ambulance hiyo...
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA
MSIMAMIZI MKUU
KAMANDA WA MATUKIO TV/BLOG
0754264203

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

DUNIA NI KATILI SANA KWA MWANAUME MASIKINI

MAKUNDI YA VILABU VINAVYOSHIRIKI KOMBE LA DUNIA 2025.

JINSI YA KUMTAWALA MWANAMKE HASA MKE (USIOE MKE WA MTU)

MUONEKANO WA UWANJA WA NDEGE WA KIMATAIFA MSALATO

DIARRA KIPA BORA TANZANIA

CHINYELE ACHUKUA FOMU KUOMBA RIDHAA YA KUGOMBEA UBUNGE DODOMA MJINI