RAIS SAMIA AWAALIKA IKULU SERENGETI GIRLS

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa, Samia Suluhu Hassan leo amewaalika Ikulu, Jijini Dar es Salaam wachezaji wa timu ya taifa ya wasichana chini ya umri wa miaka 17, Serengeti Gils kabla kuwapongeza kwa kufuzu Fainali za Kombe la Dunia.



Pichani ni Rais Samia akiwa na akiwa na Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mohamed Mchengerwa, Katibu wa Wizara hiyo Dkt. Hassan Abbasi, Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) Wallace Karia na wachezaji wa Serengeti Girls kabla ya hafla ya kuwapongeza iliyofanyika  leo Ikulu Jijini Dar es Salaam.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

DUNIA NI KATILI SANA KWA MWANAUME MASIKINI

MAKUNDI YA VILABU VINAVYOSHIRIKI KOMBE LA DUNIA 2025.

JINSI YA KUMTAWALA MWANAMKE HASA MKE (USIOE MKE WA MTU)

MUONEKANO WA UWANJA WA NDEGE WA KIMATAIFA MSALATO

DIARRA KIPA BORA TANZANIA

CHINYELE ACHUKUA FOMU KUOMBA RIDHAA YA KUGOMBEA UBUNGE DODOMA MJINI