MBUNGE MWANDABILA ALIVYOPITA KATA KWA KATA KUHAMASISHA WANAWAKE KUGOMBEA UONGOZI SERIKALI ZA MITAA


                                       

Mbunge wa Viti Maalumu kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Songwe, Neema Mwandabila akiwahamasisha wanawake kujitokeza kwa wiki kugombea uongozi katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa mkoani humo.


Ametoa wito huo wakati wa ziara yake aliyoifanya hivi katibuni katika Kata mbalimbali mkoani humo.

Baadhi ya wanawake walioshiriki kikao hicho cha ndani.

 
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA 
MSIMAMIZI MKUU 
KAMANDA WA MATUKIO ONLINE TV
 0754264203

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAMBO YANAYOUA NDOA NA MAHUSIANO

RAIS SAMIA ANA KWA ANA NA ZUHURA YUNUS

JINSI YA KUMSAHAU EX WAKO ALIEKUACHA;

USHAURI WA BURE KWA KILA MFANYAKAZI

TAKUKURU YAPONGEZWA KUWA BEGA KWA BEGA NA MBIO ZA SEPESHA ZINAZOPINGA RUSHWA YA NGONO

JINSI BINTI HUYU MWANAFUNZI ANAVYOIPENDA MITI

NDOGO WA MUME WANGU ALIKUWA EX WANGU