Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Maendeleo (TIB), Lilian Mbassy akizungumza na waandhishi wa habari katika Idara ya Habari - MAELEZO jijini Dodoma, kuhusu mafanikio na mwelekeo wa benki hiyo kwa miaka minne ya Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan.
Sehemu ya waandishi wa habari wakiwa katika mkutano huo.
Comments