MBUNGE LUGANGIRA ATEULIWA KUWA MJUMBE WA BARAZA LA UTAWALA BORA LA DUNIA

MBUNGE wa Viti Maalumu, Neema Lugangira ameteuliwa na Jukwaa la Uchumi Duniani “World Economic Forum” kuwa Mjumbe wa Baraza lao la Utawala Bora la Dunia kwa Mwaka 2025-26. 


Jukumu lao kubwa litakuwa kutafuta ufumbuzi  wa haraka wa changamoto za utawala bora duniani.



 

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MWABUKUSI ATOA NENO SIMBA KUSUSIA DERBY DHIDI YA YANGA

RAIS TRUMP ARARUANA NA RAIS WA UKRAINE

SERIKALI YALIKUBALI OMBI LA DIAMOND

MWANAMKE ALIYEVUNJA REKODI KWA KUZAA WATOTO 69

HOSPITALI YA MUHIMBILI YAANZISHA HUDUMA YA KISASA YA KUZIBA MAPENGO

ARAJIGA AULA KOMBE LA DUNIA

BODI YA LIGI YAKIRI MAKOSA, WAIOMBA YANGA WAYAMALIZE